Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 2:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Kwa hiyo moyo wangu ukapendezwa, ulimi wangu ukafurahi; Tena mwili wangu nao utakaa katika matumaini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kwa hiyo, moyo wangu ulifurahi; tena nilipiga vigelegele vya furaha. Mwili wangu utakaa katika tumaini,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kwa hiyo, moyo wangu ulifurahi; tena nilipiga vigelegele vya furaha. Mwili wangu utakaa katika tumaini,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kwa hiyo, moyo wangu ulifurahi; tena nilipiga vigelegele vya furaha. Mwili wangu utakaa katika tumaini,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia; mwili wangu nao utapumzika kwa tumaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia; mwili wangu nao utapumzika kwa tumaini.

Tazama sura Nakili

Matendo 2:26
7 Marejeleo ya Msalaba  

Maana Daud amtaja khabari zake, Nalimwona Bwana mbele yangu siku zote, Kwa kuwa yuko mkono wangu wa kuume, nisitikisike.

Kwa maana hutaniacha roho yangu katika kuzimu: Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo