Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 2:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Maana Daud amtaja khabari zake, Nalimwona Bwana mbele yangu siku zote, Kwa kuwa yuko mkono wangu wa kuume, nisitikisike.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia hata sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia hata sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia hata sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwa maana Daudi asema hivi kumhusu: “ ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwa maana Daudi asema kumhusu yeye: “ ‘Nalimwona Bwana Mwenyezi mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Matendo 2:25
15 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wote wawili wenye haki mbele ya Mungu, wakiendelea katika amri zote za Bwana na hukumu zake zote bila lawama.

Saa inakuja, naam, imekwisha kuja, mtatawanyika killa mmoja kwa mambo yake, mtaniacha mimi peke yangu; wala mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.

Kwa hiyo moyo wangu ukapendezwa, ulimi wangu ukafurahi; Tena mwili wangu nao utakaa katika matumaini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo