Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Na itakuwa killa atakaeliitia jiua la Bwana ataokolewa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Hapo, yeyote atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Hapo, yeyote atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Hapo, yeyote atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Na kila mtu atakayeliitia jina la Mwenyezi Mungu, ataokolewa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Na kila mtu atakayeliitia jina la Bwana Mwenyezi Mungu, ataokolewa.’

Tazama sura Nakili




Matendo 2:21
10 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, enendeni, kawafanyeni mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;


Jua litageuka kuwa giza, Na mwezi kuwa damu, Kabla ya kuja ile siku ya Bwana Iliyo kuu, dhahiri.


Bassi sasa, unakawiliani? Simama ubatizwe ukaoshe dhambi zako, ukiliitia jina la Bwana.


Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Sawa, ukatafute ndani ya nyumba ya Yuda mtu jina lake Saul, wa Tarso: maana yuko anasali:


Lakini Bwana akamwambia, Shika njia; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.


kwa kanisa la Mungu lililo katika Korintho, lililotakaswa katika Kristo Yesu, walioitwa wawe watakatifu pamoja na wote wanaoliitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo killa mahali, Bwana wao na wetu:


Bassi na tukikaribie kiti cha neema kwa nthubuitifu, illi tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo