Matendo 2:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Nitatoa ajabu katika mbingu juu, Na ishara katika inchi chini, Damu na moto, na mvuke wa moshi: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Nami nitaonesha maajabu juu mbinguni, na ishara chini duniani: damu, moto, na mawimbi ya moshi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Nami nitaonyesha maajabu juu mbinguni, na ishara chini duniani: damu, moto, na mawimbi ya moshi. Tazama sura |