Matendo 2:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wauawake Roho yangu, Nao watatabiri, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Naam, hata watumishi wangu wa kiume na kike, nitawamiminia Roho wangu siku zile, nao watatoa unabii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Naam, hata watumishi wangu wa kiume na kike, nitawamiminia Roho wangu siku zile, nao watatoa unabii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Naam, hata watumishi wangu wa kiume na kike, nitawamiminia Roho wangu siku zile, nao watatoa unabii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu, nao watatabiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu, nao watatabiri. Tazama sura |