Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 2:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 lakini jambo hili ni lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Yoel:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile alilosema nabii Yoeli:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile alilosema nabii Yoeli:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile alilosema nabii Yoeli:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 La, hili ni jambo lililotabiriwa na nabii Yoeli, akisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 La, hili ni jambo lililotabiriwa na nabii Yoeli, akisema:

Tazama sura Nakili

Matendo 2:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana;

Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, Nitawamwagia watu wote Roho yangu, Na wana wenu na binti zenu watatabiri, Na vijana wenu wataona maono: Na wazee wenu wataota ndoto:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo