Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Watu hawa hawakulewa kama mnavyodhani; mbona ni saa tatu tu asubuhi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Hakika watu hawa hawajalewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi!

Tazama sura Nakili




Matendo 2:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akatoka muamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;


akamwambia, Killa mtu kwanza huandaa divai iliyo njema, hatta watu wakiisha kunywa sana, ndipo huleta iliyo dhaifu: wewe umeweka divai iliyo njema hatta sasa.


lakini jambo hili ni lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Yoel:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo