Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Wengine walidhihaki, wakisema, Wamelewa kwa mvinyo mpya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Lakini wengine wakawadhihaki wakisema, “Watu hawa wamelewa divai mpya!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Lakini wengine wakawadhihaki wakisema, “Watu hawa wamelewa divai mpya!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Lakini wengine wakawadhihaki wakisema, “Watu hawa wamelewa divai mpya!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa kwa divai!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!”

Tazama sura Nakili




Matendo 2:13
10 Marejeleo ya Msalaba  

Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana;


Bassi ikiwa kanisa lote limekusanyika pamoja, na wote wananena kwa lugha, kiisha wakaingia watu wajinga au wasioamini, je! hawatasema ya kwamba mna wazimu?


Tena msilevye kwa mvinyo, kwa kuwa haina kiasi, bali mjazwe Roho;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo