Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Wakashangaa wote wakaingiwa na mashaka, wakaambiana, Maana yake nini mambo haya?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Wote walishangaa na kufadhaika huku wakiulizana, “Hii ina maana gani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Wote walishangaa na kufadhaika huku wakiulizana, “Hii ina maana gani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Wote walishangaa na kufadhaika huku wakiulizana, “Hii ina maana gani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?”

Tazama sura Nakili




Matendo 2:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa, Yesu alipomaliza maneno haya, makutano wakashangaa kwa mafundisho yake:


Maana Herode alimwogopa Yohana: hatta akimjua kuwa ni mtu wa haki, mtakatifu, akamhami, na alipokwisha kumsikiliza alifanya mambo mengi: nae alikuwa akimsikiliza kwa furaha.


Akamwita mmojawapo wa watumishi wake akamwuliza khabari, Mambo bayo, maana yake nini?


Aliposikia makutano yanapita, akauliza khabari, Kuna nini?


Hatta Petro alipokuwa akiona mashaka ndani ya nafsi yake, maana yake nini maono hayo aliyoyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, wakiislia kuiulizia nyumba ya Simon, wakasimama mbele ya mlango,


Kwa maana unaleta mambo mageni masikioni mwetu, tutapenda kujua, bassi, maana ya mambo haya.


Wakrete na Waarabu; tunawasikia hawa wakisema kwa maneno yetu matendo makuu ya Mungu.


Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Si hawa wote wasemao Wagalilaya?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo