Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 HATTA ilipotimia siku ya Pentekote walikuwako wote pamoja mahali pamoja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku ya Pentekoste ilipowadia, waumini wote walikuwa mahali pamoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Siku ya Pentekoste ilipowadia, waamini wote walikuwa mahali pamoja.

Tazama sura Nakili




Matendo 2:1
23 Marejeleo ya Msalaba  

ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi si nyingi.


Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemi, na katika Yahudi yote, na Samaria, na hatta mwisho wa inchi.


Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kupokea chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe,


Kwa sababu Paolo amekusudia kupita Efeso merikebuni, asije akakawia katika Asia: kwa maana alikuwa akifanya haraka, akitaka kuwahi Yerusalemi siku ya Pentekote, kama ikiwezekana.


Nao waliposikia, wakampaazia Mungu sauti zao kwa moyo mmoja, wakisema, Mola, wewe ndiwe Mungu, ndiwe uliyefanya mbingu na inchi na bahari na vitu vyote vilivyomo:


Hatta walipokwisha kumwomba Mungu, pahali paie walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa uthabiti.


Na jamii ya watu walioamini walikuwa moyo mmoja na roho moja: wala hapana mmoja aliyesema ya kuwa kitu cho chote alicho nacho ni mali yake mwenyewe; bali walikuwa na vitu vyote shirika.


Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu: nao wote walikuwa kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani:


illi kwa moyo mmoja na kwa kinywa kimoja mpate kumtukuza Mungu, Baba wa liwima wetu Yesu Kristo.


Lakini nitakaa katika Efeso mpaka Pentekote;


Lakini mwenendo wenu uwe kama inavyoipasa Injili ya Kristo, illi, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, kama mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili;


ijalizeni furaha yangu, illi mwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, mkinia mamoja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo