Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Na jumla yao walipata wanaume thenashara.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Walikuwa wapatao wanaume kumi na wawili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Walikuwa kama wanaume kumi na wawili.

Tazama sura Nakili




Matendo 19:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo yule liwali, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini akiyastaajabia mafundisho ya Bwana.


Na Paolo, alipokwisba kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri.


Akaingia ndani ya sunagogi, akanena kwa ujasiri, akihujiana na watu kwa muda wa miezi mitatu, na kuwavuta waamini mambo ya ufalme wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo