Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Waliposikia baya wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




Matendo 19:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akaamuru wabatizwe kwa Jina lake Yesu Kristo. Ndipo wakamsihi azidi kukaa siku kadha wa kadha.


Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.


Lakini walimpomwamini Filipo, akizikhubiri khabari njema za ufalme wa Mungu, na jina lake Yesu Kristo, wakabatizwa, wanaume na wanawake.


kwa maana bado hajawashukia hatta mmoja wao, illa wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu.


wote wakabatizwa kwa Musa katika wingu na katika bahari;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo