Matendo 19:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192139 Bali mkitafuta neno lo lote katika mambo mengine, yatatengenezwa katika kusanyiko lililo halali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Kama mna matatizo mengine, yapelekeni katika kikao halali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali. Tazama sura |