Matendo 19:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192138 Bassi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja nae wana neno juu ya mtu, baraza ziko, na maliwali wako: na washitakiane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Kama, basi Demetrio na wafanyakazi wake wana mashtaka yao kuhusu watu hawa, yapo mahakama na wakuu wa mikoa; wanaweza kushtakiana huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Basi, ikiwa Demetrio na mafundi wenzake wana mashtaka dhidi ya mtu yeyote, mahakama ziko wazi na wasaidizi wa mwakilishi wa mtawala. Wanaweza kufungua mashtaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Basi, ikiwa Demetrio na mafundi wenzake wana jambo zito dhidi ya mtu yeyote, mahakama ziko wazi na wasaidizi wa mwakilishi wa mtawala. Wanaweza kufungua mashtaka. Tazama sura |