Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 19:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Kwa maana mmewaleta watu hawa, wasiokwiba vitu vya hekalu wala kumtukana mungu mke wetu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Mmewaita watu hawa hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana mungu wetu wa kike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Mmewaita watu hawa hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana mungu wetu wa kike.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Mmewaita watu hawa hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana mungu wetu wa kike.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Kwa kuwa mmewaleta hawa watu hapa, ingawa hawajaiba hekaluni wala kumkufuru huyu mungu wetu wa kike.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Kwa kuwa mmewaleta hawa watu hapa, ingawa hawajaiba hekaluni wala kumkufuru huyu mungu wetu wa kike.

Tazama sura Nakili

Matendo 19:37
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapaseni kutulia, msifanye neno la haraka haraka.

Paolo akajitetea hivi, ya kama, Mimi sikukosa neno juu ya sharia ya Wayahudi, wiila juu ya hekalu wala juu ya Kaisari.

Wewe usemae kwamba mtu asizini, wazini mwenyewe? Wewe uchukiae sanamu, wateka mahekidu?

Msiwakoseshe Wayahudi wala Wayunaui wala Kanisa la Mungu:

Tusiwe kwao la namna yo yote katika jambo lo lote, khuduma yetu isilaumiwe;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo