Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Bassi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapaseni kutulia, msifanye neno la haraka haraka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Kwa hiyo, kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, inawapasa mnyamaze na wala msifanye lolote kwa haraka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Kwa hiyo, kwa kuwa mambo haya hayakanushiki, inawapasa mnyamaze na wala msifanye lolote kwa haraka.

Tazama sura Nakili




Matendo 19:36
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na karani wa mji alipokwisha kuwatuliza watu, akasema, Enyi wanaume wa Efeso, ni mtu gani asiyejua ya kuwa mji wa Efeso ni mtunzaji wa hekalu ya Artemi, mungu mke aliye mkuu, na wa kitu kile kilichoanguka kutoka mbinguni?


Kwa maana mmewaleta watu hawa, wasiokwiba vitu vya hekalu wala kumtukana mungu mke wetu.


makhaini, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko Mungu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo