Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Walakini baadhi ya Waasiarko walio rafiki zake wakatuma watu kwake, wakimsihi asijihudhurishe nafsi yake ndani ya theatro.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Maofisa wengine wa huo mkoa wa Asia, waliokuwa rafiki zake, walimpelekea Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi wa michezo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Maofisa wengine wa huo mkoa wa Asia, waliokuwa rafiki zake, walimpelekea Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi wa michezo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Maofisa wengine wa huo mkoa wa Asia, waliokuwa rafiki zake, walimpelekea Paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi wa michezo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hata baadhi ya viongozi wa sehemu ile, waliokuwa rafiki zake Paulo, wakatuma watu wakitamani asiingie katika ule ukumbi wa maonesho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hata baadhi ya viongozi wa sehemu ile, waliokuwa rafiki zake Paulo, wakatuma watu wakitamani asiingie katika ule ukumbi.

Tazama sura Nakili




Matendo 19:31
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa.


Wakapita katika inchi ya Frugia na Galatia, wakakatazwa na Roho Mtakatifu, wasilikhubiri Neno katika Asia.


Mambo haya yakaendelea kwa muda wa miaka miwili, hatta wote waliokaa Asia wakalisikia neno la Bwana, Wayahudi kwa Wayunani.


Mji wote ukajaa ghasia, wakaenda mbio wakaingia theatro kwa moyo mmoja, wakiisha kuwakamata Gaio na Aristarko, watu wa Makedonia waliosafiri pamoja na Paolo.


Na Paolo alipotaka kuingia kati ya watu, wanafunzi hawakumwacha aingie.


Bassi wengine walikuwa wakilia hivi na wengine hivi: kwa maana ule mkutano umekwisha kuchafukachafuka, na walio wengi hawakuijua sababu ya kukusanyika kwao pamoja.


Bassi tuliposikia haya, sisi na watu wa mahali pale, tukamsihi asipande kwenda Yerusalemi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo