Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Na Paolo alipotaka kuingia kati ya watu, wanafunzi hawakumwacha aingie.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Paulo akataka kuingia katikati ya umati, lakini wanafunzi hawakumruhusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Paulo akataka kuingia katikati ya umati huo, lakini wanafunzi hawakumruhusu.

Tazama sura Nakili




Matendo 19:30
7 Marejeleo ya Msalaba  

Walakini baadhi ya Waasiarko walio rafiki zake wakatuma watu kwake, wakimsihi asijihudhurishe nafsi yake ndani ya theatro.


Lakini wengine walikaidi, wakakataa kuamini, wakiitukana ile Njia mbele ya mkutano; bassi, akaondoka akawaacha, akawatenga wanafunzi nao, akahujiana na watu killa siku katika darasa ya mtu mmoja, jina lake Tyranno.


Paolo akasema, Mimi ni mtu wa Kiyahudi, mtu wa Tarso, mji wa Kilikia, mwenyeji wa mji usio mnyonge. Nakuomba, nipe rukhusa niseme na wenyeji hawa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo