Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Waliposikia haya wakajaa hasira, wakapiga kelele, wakisema, Artemi wa Waefeso m mkuu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: “Mkuu ni Artemi wa Efeso!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: “Mkuu ni Artemi wa Efeso!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: “Mkuu ni Artemi wa Efeso!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Waliposikia maneno haya, wakaghadhibika, wakaanza kupiga kelele wakisema, “Artemi wa Waefeso ni mkuu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Waliposikia maneno haya, wakaghadhibika, wakaanza kupiga kelele, “Artemi wa Waefeso ni mkuu!”

Tazama sura Nakili




Matendo 19:28
15 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Herode, akiona ya kuwa amedhihakiwa na majusi, akaghadhabika sana, akatuma watu kuwaua watoto wote wanawaume waliokuwa Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wa miaka miwili na waliopungua, kwa muda aliouhakiki kwa majusi.


Wakalika Efeso, akawaacha huko. Yeye mwenyewe akaingia katika sunagogi, akahujiana na Wayahudi.


Kwa maana mtu mmoja, jina lake Demetrio, mfua fedha, kazi yake kufanya vihekalu vya fedha vya Artemi, alikuwa akiwapatia mafundi faida nyingi.


Bassi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.


Kwa hiyo shangilieni, mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa inchi na bahari: kwa maana yule msingiziaji ameshuka kwao mwenye hasira nyingi, akijua ya kuwa ana wakati si mwingi.


Wakamsujudu yule joka aliyempa nyama uwezo, wakamsujudu yule nyama, wakisema, Nani afananae na nyama? Nani awezae kufanya vita nae?


Hawa wana shauri amoj, nao wampa yule nyama nguvu zao na mamlaka yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo