Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 19:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Kwa maana mtu mmoja, jina lake Demetrio, mfua fedha, kazi yake kufanya vihekalu vya fedha vya Artemi, alikuwa akiwapatia mafundi faida nyingi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kulikuwa na mfua fedha mmoja aitwaye Demetrio, ambaye alikuwa na kazi ya kutengeneza sanamu za nyumba ya mungu wa kike aitwaye Artemi. Shughuli hiyo iliwapatia mafundi wake faida kubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kulikuwa na mfua fedha mmoja aitwaye Demetrio, ambaye alikuwa na kazi ya kutengeneza sanamu za nyumba ya mungu wa kike aitwaye Artemi. Shughuli hiyo iliwapatia mafundi wake faida kubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kulikuwa na mfua fedha mmoja aitwaye Demetrio, ambaye alikuwa na kazi ya kutengeneza sanamu za nyumba ya mungu wa kike aitwaye Artemi. Shughuli hiyo iliwapatia mafundi wake faida kubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mtu mmoja jina lake Demetrio mfua fedha aliyekuwa akitengeneza vinyago vya fedha vya Artemi na kuwapatia mafundi wake biashara kubwa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Mtu mmoja jina lake Demetrio mfua fedha aliyekuwa akitengeneza vinyago vya fedha vya Artemi na kuwapatia mafundi wake biashara kubwa,

Tazama sura Nakili

Matendo 19:24
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kuombea, kijakazi kimoja aliyekuwa na pepo ya Puthoni akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kutabiri.

Bassi bwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limewapotea, wakawakamata Paolo na Sila, wakawakokota hatta sokoni mbele ya wakuu wa mji;

Akawakusanya hao, pamoja na wengine wenye kazi ile ile, akasema, Enyi wanaume, mnajua ya kuwa utajiri wetu hutoka katika kazi hii.

Bassi ikiwa Demetrio na mafundi walio pamoja nae wana neno juu ya mtu, baraza ziko, na maliwali wako: na washitakiane.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo