Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 akawauliza, Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hatta kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 akawauliza, “Je, mlipokea Roho wa Mungu mlipoamini?” Wakajibu, “Hapana, hata hatukusikia kuwa kuna Roho wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 akawauliza, “Je, mlipokea Roho wa Mwenyezi Mungu mlipoamini?” Wakajibu, “Hapana, hata hatukusikia kuwa kuna Roho wa Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili




Matendo 19:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Neno hili alilisema katika khabari ya Roho, ambae wale wamwaminio watampokea khalafu: kwa maana Roho Mtakatifu alikuwa bado kuwapo, kwa sababu Yesu alikuwa bado kutukuzwa.


Petro alipokuwa akisema maueno haya Roho Mtakatifu akawashukia wote waliosikia maneno yake.


Waliposikia baya wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.


Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, Nitawamwagia watu wote Roho yangu, Na wana wenu na binti zenu watatabiri, Na vijana wenu wataona maono: Na wazee wenu wataota ndoto:


kwa maana ninatamani sana kuwaona, nipate kuwapeni karama ya rohoni, illi mfanywe imara;


Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu ya Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyopewa na Mungu? Na ninyi si mali yenu wenyewe;


Bassi, yeye awaruzukiae Roho na kufanya miujiza kati yenu, afanya hayo kwa matendo ya sharia, au kwa kusikia kunakotokana na imani?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo