Matendo 19:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Na wengi wa wale walioamini wakaja wakaungama, wakidhihirisha matendo yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Waumini wengi walijitokeza wakakiri hadharani mambo waliyokuwa wametenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wengi wa wale waliokuwa wameamini wakati huu wakaja na kutubu waziwazi kuhusu matendo yao maovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wengi wa wale waliokuwa wameamini wakati huu wakaja na kutubu waziwazi kuhusu matendo yao maovu. Tazama sura |