Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Yule pepo akawajibu, Yesu namjua na Paolo namfahamu, bali ninyi ni nani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini nyinyi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini nyinyi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini nyinyi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Siku moja pepo mchafu akawajibu, “Isa namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Lakini pepo mchafu akawajibu, “Isa namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”

Tazama sura Nakili




Matendo 19:15
12 Marejeleo ya Msalaba  

akinena, Tʼuna nini nawe, Yesu Mnazareti? umekuja kutuangamiza? Nakutambua wewe, Mtakatifu wa Mungu.


Akaponya wengi waliokuwa na maradhi nyingine nyingine, akafukuza pepo wengi, wala hakuwaacha pepo kunena, kwa sababu walimjua.


Nao waliofanya haya walikuwa wana saba wa Skewa, Myahudi, kuhani mkuu.


Na yule mtu aliyepagawa na pepo akawarukia, akawaweza, akawashinda, hatta wakatoka mbio katika nyumba ile uchi na wamejeruhi.


Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vyema. Mashetani nao waamini na kutetemeka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo