Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 19:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Nao waliofanya haya walikuwa wana saba wa Skewa, Myahudi, kuhani mkuu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Watoto saba wa Skewa, kuhani mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Watoto saba wa Skewa, kuhani mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Watoto saba wa Skewa, kuhani mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Wana saba wa Skewa, Myahudi aliyekuwa kiongozi wa makuhani, walikuwa wanafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Wana saba wa Skewa, Myahudi aliyekuwa kiongozi wa makuhani, walikuwa wanafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Matendo 19:14
2 Marejeleo ya Msalaba  

Baadhi ya Wayahudi wenye kutangatanga, nao ni waganga wa pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema, Twawaapizeni kwa Yesu, yule anaekhubiriwa na Paolo.

Yule pepo akawajibu, Yesu namjua na Paolo namfahamu, bali ninyi ni nani?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo