Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 19:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Baadhi ya Wayahudi wenye kutangatanga, nao ni waganga wa pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema, Twawaapizeni kwa Yesu, yule anaekhubiriwa na Paolo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Wayahudi kadhaa wenye kupunga pepo wabaya walisafiri huko na huko wakijaribu kulitumia jina la Bwana Yesu kwa wale waliokuwa wamepagawa na pepo wabaya. Walikuwa wakisema: “Ninawaamuru kwa jina la Yesu ambaye Paulo anamhubiri.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Wayahudi kadhaa wenye kupunga pepo wabaya walisafiri huko na huko wakijaribu kulitumia jina la Bwana Yesu kwa wale waliokuwa wamepagawa na pepo wabaya. Walikuwa wakisema: “Ninawaamuru kwa jina la Yesu ambaye Paulo anamhubiri.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Wayahudi kadhaa wenye kupunga pepo wabaya walisafiri huko na huko wakijaribu kulitumia jina la Bwana Yesu kwa wale waliokuwa wamepagawa na pepo wabaya. Walikuwa wakisema: “Ninawaamuru kwa jina la Yesu ambaye Paulo anamhubiri.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Baadhi ya Wayahudi waliotangatanga wakitoa pepo wachafu wakajaribu kutumia jina la Bwana Isa kwa wale wenye pepo, wakisema, “Kwa jina la Isa, yule anayehubiriwa na Paulo, nakuamuru utoke.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Basi baadhi ya Wayahudi wenye kutangatanga huku na huko wakitoa pepo wachafu, wakajaribu kutumia jina la Bwana Isa kwa wale wenye pepo, wakisema, “Kwa jina la Isa, yule anayehubiriwa na Paulo, nakuamuru utoke.”

Tazama sura Nakili

Matendo 19:13
15 Marejeleo ya Msalaba  

Na mimi nikifukuza pepo kwa uweza wa Beelzebul, je! wana wenu wawafukuza kwa uweza wa nani? Kwa sababu hii hawo ndio watakaokuwa waamuzi wenu.

Lakini Yesu akanyamaza. Kuhani mkuu akamjihu, akamwambia, Nakuapisha Mungu aliye hayi, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.

akalia kwa sauti kuu akanena, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi, uniapie kwa Mungu kwamba hutaniadhibu.

Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akifukuza pepo kwa jina lako, nae hatufuati sisi: tukamkataza, kwa sababu hatufuati sisi.

Lakini mimi nikifukuza pepo kwa Beelzebul, wana wenu huwafukuza kwa nani? bassi kwa hiyo hawo ndio watakaokuwa waamuzi wenu.

Yohana akajibu, akasema, Mwalimu, tulimwona mtu anafukuza pepo kwa jina lako, tukamkataza kwa kuwa hatufuati sisi.

Nao waliofanya haya walikuwa wana saba wa Skewa, Myahudi, kuhani mkuu.

Maana yeye ajae akikhubiri Yesu mwingine ambae sisi hatukumkhubiri, au mkipokea Roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumilia nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo