Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 19:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 hatta wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizogusa mwili wake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Watu walikuwa wakichukua leso na nguo nyingine za kazi ambazo Paulo alikuwa amezitumia, wakazipeleka kwa wagonjwa, nao wakaponywa magonjwa yao; na wale waliokuwa na pepo wabaya wakatokwa na pepo hao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Watu walikuwa wakichukua leso na nguo nyingine za kazi ambazo Paulo alikuwa amezitumia, wakazipeleka kwa wagonjwa, nao wakaponywa magonjwa yao; na wale waliokuwa na pepo wabaya wakatokwa na pepo hao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Watu walikuwa wakichukua leso na nguo nyingine za kazi ambazo Paulo alikuwa amezitumia, wakazipeleka kwa wagonjwa, nao wakaponywa magonjwa yao; na wale waliokuwa na pepo wabaya wakatokwa na pepo hao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 hivi kwamba leso au vitambaa vilivyokuwa vimegusa mwili wa Paulo viliwekwa juu ya wagonjwa, nao wakapona magonjwa yao, na pepo wachafu wakawatoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 hivi kwamba leso au vitambaa vilivyokuwa vimegusa mwili wa Paulo viliwekwa juu ya wagonjwa, nao wakapona magonjwa yao, na pepo wachafu wakawatoka.

Tazama sura Nakili

Matendo 19:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Na ishara hizi zitafuatana nao waaminio; Kwa jina langu watafukuza pepo; watasema kwa ndimi mpya;

hatta katika njia kuu hutoa nje wagonjwa, huwaweka juu ya mifarashi na vitanda, illi, Petro akija, kivuli chake tu kimtie kivuli mmojawapo wao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo