Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 19:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Mungu akafanya kwa mikono ya Paolo miujiza ya kupita kawaida;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kupitia kwa Paulo,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kwa mkono wa Paulo,

Tazama sura Nakili




Matendo 19:11
10 Marejeleo ya Msalaba  

Amin, amin, nawaambieni, Aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi na yeye atazifanya; atafanya na kubwa kuliko hizi, kwa kuwa nashika njia kwenda kwa Baba.


Bassi wakakaa huko wakati mwingi, wakinena kwa uthabiti katika Bwana, aliyelishuhudia neno la neema yake, akiwajalia ishara na maajabu yatendeke kwa mikono yao.


Bassi mkutano wote wakanyamaza, wakawasikiliza Barnaba na Paolo wakiwapasha khabari za ishara na maajabu ambayo Mungu aliyafanya kwa ujumbe wao katika mataifa.


Akawa akifanya hayo siku nyingi. Lakini Paolo akakasirika akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile.


Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu: nao wote walikuwa kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani:


Na yeye Simon mwenyewe aliamini akabatizwa, akakaa na Filipo: akashangaa alipoziona ishara na miujiza mikubwa inayotendeka.


Bassi, yeye awaruzukiae Roho na kufanya miujiza kati yenu, afanya hayo kwa matendo ya sharia, au kwa kusikia kunakotokana na imani?


Mungu nae akishuhudu pamoja nao kwa ishara na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa karama za Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo