Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 18:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Bwana akamwambia Paolo kwa njozi nsiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Usiku mmoja Bwana Isa akamwambia Paulo katika maono, “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Usiku mmoja Bwana Isa akamwambia Paulo katika maono, “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze,

Tazama sura Nakili

Matendo 18:9
17 Marejeleo ya Msalaba  

Paolo akatokewa na maono usiku; alimwona mtu wa Makedonia amesimama, akimsihi akimwambia, Vuka uje Makedonia utusaidie.

kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakaekushambulia illi kukudhuru; kwa matina mimi nina watu wengi katika mji huu.

nikamwona akiniambia, Hima, toka katika Yerusalemi upesi, kwa sababu hawatakubali ushuhuda wako katika khabari zangu.

Usiku ule Bwana akasimama karibu nae, akasema, Uwe na moyo mkuu, Paolo; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia khabari zangu Yerusalemi, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi.

Bassi palikuwapo mwanafunzi Dameski, jina lake Anania. Bwana akamwambia katika njozi, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.

JE! mimi si mtume? mimi si huru? sikumwona Yesu Kristo Bwana wetu? ninyi si kazi yangu katika Bwana?

bali tukiisha kuteswa kwanza na kutendwa jeuri, kama mjuavyo, katika Filippi, twalithubutu katika Mungu kuinena Injili ya Mungu kwenu, kwa kuishindania sana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo