Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 18:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 wakisema, Mtu huyu huwavuta watu illi wamwabudu Mungu kinyume cha sharia yetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Wakasema, “Tunamshtaki mtu huyu kwa sababu ya kuwashawishi watu wamwabudu Mungu kwa namna inayopingana na sheria.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Wakasema, “Tunamshtaki mtu huyu kwa sababu ya kuwashawishi watu wamwabudu Mungu kwa namna inayopingana na sheria.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Wakasema, “Tunamshtaki mtu huyu kwa sababu ya kuwashawishi watu wamwabudu Mungu kwa namna inayopingana na sheria.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Wakamshtaki wakisema, “Mtu huyu anawashawishi watu wamwabudu Mungu kinyume cha sheria.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Wakamshtaki wakisema, “Mtu huyu anawashawishi watu wamwabudu Mwenyezi Mungu kinyume cha sheria.”

Tazama sura Nakili




Matendo 18:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wayahudi wakamjibu, Sisi tuna sharia, na kwa sharia hiyo amepasiwa kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.


bali ikiwa ni hoja juu ya maneno na majina na sharia yenu, liangalieni ninyi wenyewe, maana mimi sitaki kuwa mwamuzi wa mambo hayo.


Akatoa hoja zake katika sunagogi killa sabato akawavuta Wayahudi na Wayunani waamini.


Huyu ndiye mtu yule afundishae watu katika killa mahali kinyume cha taifa letu na torati na pahali hapa. Tena, zaidi ya haya, amewaingiza Wayunani katika hekalu, akapatia najis pahali hapa palakatifu.


Paolo akajitetea hivi, ya kama, Mimi sikukosa neno juu ya sharia ya Wayahudi, wiila juu ya hekalu wala juu ya Kaisari.


Wakasimamisha mashahidi wa uwongo waliosema, Mtu huyu haachi kusema maneno ya kufuru juu ya mahali hapa patakatifu na juu ya torati:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo