Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 18:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Akakaa huko muda wa mwaka mmoja na miezi sita akawafundisha neno la Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha Maandiko ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha neno la Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Matendo 18:11
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi wakakaa huko wakati mwingi, wakinena kwa uthabiti katika Bwana, aliyelishuhudia neno la neema yake, akiwajalia ishara na maajabu yatendeke kwa mikono yao.


kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakaekushambulia illi kukudhuru; kwa matina mimi nina watu wengi katika mji huu.


Hatta Gallio alipokuwa Prokonsuli wa Akaya, Wayahudi wakamwendea Paolo kwa nia moja, wakamleta mbele ya kiti cha hukumu,


Mambo haya yakaendelea kwa muda wa miaka miwili, hatta wote waliokaa Asia wakalisikia neno la Bwana, Wayahudi kwa Wayunani.


Kwa biyo kesheni, mkikumbuka kama miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya killa mtu kwa machozi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo