Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 17:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Baadhi ya wanaume wakashikamana nae, wakaamini; katika hao alikuwamo Dionuso, Mwareopago, na mwanamke mmoja jina lake Damari, na watu wengine pamoja na hao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Lakini watu kadhaa waliandamana naye, wakawa waumini. Miongoni mwao walikuwa Dionisio wa Areopago, na mwanamke mmoja aitwaye Damari na wengineo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Lakini watu kadhaa waliandamana naye, wakawa waumini. Miongoni mwao walikuwa Dionisio wa Areopago, na mwanamke mmoja aitwaye Damari na wengineo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Lakini watu kadhaa waliandamana naye, wakawa waumini. Miongoni mwao walikuwa Dionisio wa Areopago, na mwanamke mmoja aitwaye Damari na wengineo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Lakini baadhi yao wakaungana naye wakaamini. Kati yao walikuwemo Dionisio, mmoja wa mkutano wa Areopago, na mwanamke mmoja aliyeitwa Damari, na wengine wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Lakini baadhi yao wakaungana naye wakaamini. Kati yao alikuwepo Dionisio, Mwareopago na mwanamke mmoja aliyeitwa Damari na wengine wengi.

Tazama sura Nakili




Matendo 17:34
11 Marejeleo ya Msalaba  

Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza wa mwisho: maana waitwao wengi, hali wateule wachache.


Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, nao waliokuwa wamekusudiwa uzima wa milele wakaamini.


Wakamshika, wakamchukua hatta Areopago, wakisema, Je, twaweza kujua maana ya elimu hii mpya inenwayo nawe?


Paolo akasimaina katikati ya Areopago, tikasema, Enyi watu wa Athene, katika mambo yote naona ya kuwa ninyi ni watu wa kutafakari sana mambo ya dini.


Bassi Paolo akaondoka akawaacha.


Wengine wakaamini, wakasuhubiana na Paolo na Sila; na Wayunani waliomcha Mungu, wengi sana, na wanawake wenye eheo si wachache.


Watakatifu wote wawasalimu, khassa wao walio wa nyumba ya Kaisari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo