Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 17:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 illi wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasapapasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na killa mmoja wenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Alifanya hivyo, ili mataifa hayo yapate kumfuata, na kama vile kwa kupapasapapasa, yapate kumfikia. Hata hivyo lakini, Mungu hayuko mbali na kila mmoja wetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Alifanya hivyo, ili mataifa hayo yapate kumfuata, na kama vile kwa kupapasapapasa, yapate kumfikia. Hata hivyo lakini, Mungu hayuko mbali na kila mmoja wetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Alifanya hivyo, ili mataifa hayo yapate kumfuata, na kama vile kwa kupapasapapasa, yapate kumfikia. Hata hivyo lakini, Mungu hayuko mbali na kila mmoja wetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Mungu alifanya hivyo ili wanadamu wamtafute na huenda wakamfikia ingawa kwa kupapasapapasa ijapokuwa kwa kweli hakai mbali na kila mmoja wetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Mwenyezi Mungu alifanya hivyo ili wanadamu wamtafute na huenda wakamfikia ingawa kwa kupapasapapasa ijapokuwa kwa kweli hakai mbali na kila mmoja wetu.

Tazama sura Nakili

Matendo 17:27
9 Marejeleo ya Msalaba  

Illakini hakujiacha hana shahidi kwa kuwa alitenda mema akiwapeni mvua kutoka mbinguni, na nyakati za mavuno, akiwajaza mioyo yenu chakula na furaha.

Illi wana Adamu waliosalia wamtafute Bwana, Na mataifa yote ambao jina langu limetajwa kwao: Asema Bwana afanyae mambo haya yote.

Kwa sababu mambo yake yasiyoonekima tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, yanafahamika kwa viumbe vyake, yaani uweza wake wa milele na Uungu wake; wtisiwe na udhuru:

Au waudharau wingi wa wema wake na uvumilivu wake na kusubiri kwake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvutia toba?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo