Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 17:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Kwa maana Waathene na wageni waliokaa huko walikuwa hawana faragha kwa neno lo lote illa kutoa khabari na kusikiliza khabari za jambo jipya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 (Waathene na wageni wote walioishi humo hawakutumia muda wao kufanya chochote kingine isipokuwa kueleza au kusikia mambo mapya.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 (Waathene na wageni wote walioishi humo hawakutumia muda wao kufanya chochote kingine isipokuwa kueleza au kusikia mambo mapya).

Tazama sura Nakili




Matendo 17:21
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nao walimsindikiza Paolo wakampeleka hatta Athene; na wakiisha kupokea maagizo kuwapelekea Sila na Timotheo, ya kama wasikawie kumfuata, wakaenda zao.


Paolo alipokuwa akiwangojea katika Athene akaona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho yake ilichukizwa sana ndani yake.


Kwa maana unaleta mambo mageni masikioni mwetu, tutapenda kujua, bassi, maana ya mambo haya.


Frugia na Pamfulia, Misri na pande za Libua karibu na Kurene, na Warumi wageni, Wayahudi na Waongofu,


mkiukomboa wakati, kwa maana zamani bizi zina novu.


Enendeni kwa hekima mbele vao walio nje, mkiukomboa wakati.


Na pamoja na hayo wajifunza kuwa wavivu, wakizungukazunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi, hujishughulisha na mambo ya wengine wakinena maneno yasiyowapasa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo