Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 17:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Wafu wengi wakaamini miongoni mwao, nao wanawake wa Kiyunani wenye cheo, na wanaume si wachache.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wayahudi wengi wakaamini pamoja na wanawake na wanaume Wayunani wa tabaka la juu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wayahudi wengi wakaamini pamoja na wanawake na wanaume wa Kiyunani wa tabaka la juu.

Tazama sura Nakili




Matendo 17:12
13 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda Yusuf, mtii wa Arimathaya, mstahiki, mtu wa baraza la mashauri, nae mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungu; akafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akauomba mwili wake Yesu.


Mtu akipenda kuyatenda mapenzi yake, atajua khabari ya elimu hii kwamba yatoka kwa Mungu, au kwamba mimi nanena kwa nafsi yangu tu.


Paolo na Barnaba wakanena kwa uthabiti wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza: illakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, wala hamjioni nafsi zenu kuwa mmestahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia mataifa.


Lakini Wayahudi wakawafitinisha wanawake watawa na watu wenye cheo na wakuu wa mji, wakawataharakisha watu wawaudhi Paolo na Barnaba; wakawatoa katika mipaka yao.


IKAWA huko Ikonio wakaingia pamoja katika sunagogi ia Wayahudi, wakanena; hatta jamaa kubwa ya Wayahudi na ya Wayunani wakaamini.


wakimsifu Mungu, na kuwapendeza wutu wote. Bwana akalizidisha kanisa killa siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.


Maana angalieni wito wenu, ndugu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo waliokwitwa;


Kwa biyo anena, Amka, wewe usinziae, kafufuka, na Kristo atakuangaza.


na tajiri kwa kuwa ameshushwa: kwa maana kama ua la majani atatoweka.


Kwa hiyo wekeeni mbali uchafu wote na ubaya uzidio, kapokeeni kwa upole neno lililopandwa, liwezalo kuokoa roho zenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo