Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 16:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Nao wakatoka gerezani wakaingia nyumbani mwa Ludia; na walipokwisha kuwaona ndugu wakawafariji, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Paulo na Sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa Ludia. Huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Paulo na Sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa Ludia. Huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Paulo na Sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa Ludia. Huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Baada ya Paulo na Sila kutoka gerezani walienda nyumbani mwa Lidia, ambapo walikutana na waumini, wakawatia moyo, ndipo wakaondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Baada ya Paulo na Sila kutoka gerezani walikwenda nyumbani kwa Lidia, ambapo walikutana na wale ndugu walioamini, wakawatia moyo, ndipo wakaondoka.

Tazama sura Nakili




Matendo 16:40
10 Marejeleo ya Msalaba  

Siku zile akasimama Petro kati ya wanafunzi, akasema (jumla ya majina ilipata mia na ishirini),


wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwaonya wakae katika imani, na ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya shidda nyingi.


Mwanamke mnioja, jina lake Ludia, mwenye kuuza rangi ya zambarao, mwenyeji wa Thuatira, mcha Mungu, akatusikiliza. Moyo wake huyu ukafunguliwa na Bwana, ayaangalie mineno yaliyonenwa na Paolo.


Mtu huyo alishuhudiwa na ndugu waliokaa Lustra na Derbe.


Hatta walipofunguliwa, wakaenda kwa watu wao, wakawapasha khabari ya mambo yote waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo