Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 16:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Wakubwa wa askari wakawapasha makadhi khabari za maneno haya: nao wakaogopa, waliposikia ya kwamba ni Warumi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba Paulo na Sila walikuwa raia wa Roma, waliogopa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba Paulo na Sila walikuwa raia wa Roma, waliogopa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba Paulo na Sila walikuwa raia wa Roma, waliogopa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Wale maafisa wakarudi na kuwaambia wale mahakimu maneno haya, wakaogopa sana walipofahamu kuwa Paulo na Sila ni raia wa Rumi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Wale maafisa wakarudi na kuwaambia wale mahakimu maneno haya, wakaogopa sana walipofahamu kuwa Paulo na Sila ni raiya wa Rumi.

Tazama sura Nakili




Matendo 16:38
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.


Nao walipotafuta kumkamata, wakawaogopa makutano, kwa maana walimwona kuwa nabii.


Na watakapowapeleka mbele za sunagogi na maliwali na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza jinsi mtakavyojibu au mtakavyosema:


Kulipopambazuka makadhi wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.


Bassi wale waliokuwa tayari kumwuliza wakaondoka wakamwacha. Na yule jemadari nae akaogopa, alipojua ya kuwa ni Mrumi, na kwa sababu amemfunga.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo