Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 16:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Yule mlinzi wa gereza akamwarifu Paolo maneno haya ya kama, Makadhi wametuma watu kuwafungulieni! bassi, sasa tokeni nje, enendeni zenu kwa amani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Yule askari wa gereza alimpasha habari Paulo: “Mahakimu wametuma ujumbe ili mfunguliwe. Sasa mnaweza kutoka na kwenda zenu kwa amani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Yule askari wa gereza alimpasha habari Paulo: “Mahakimu wametuma ujumbe ili mfunguliwe. Sasa mnaweza kutoka na kwenda zenu kwa amani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Yule askari wa gereza alimpasha habari Paulo: “Mahakimu wametuma ujumbe ili mfunguliwe. Sasa mnaweza kutoka na kwenda zenu kwa amani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Mkuu wa gereza akamwambia Paulo “Mahakimu wameagiza niwaachie huru, kwa hiyo tokeni na mwende zenu kwa amani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Mkuu wa gereza akamwambia Paulo “Mahakimu wameagiza niwaache huru, kwa hiyo tokeni na mwende zenu kwa amani.”

Tazama sura Nakili




Matendo 16:36
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Binti imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, ukawe mzima, usiwe na msiba wako tena.


Amani nawaachieni; amani yangu nawatolea; si kama ulimwengu utoavyo, mimi nawatolea. Msifadhaike moyo wenu, wala msiwe na woga.


Nao wakiisha kukaa huko muda kitambo, wakarukhusiwa na ndugu waende kwa amani kwao waliowatuma.


Na walipokwisha kuwapiga mapigo mengi, wakawatupa gerezani, wakamwamuru mlinzi wa gereza awalinde sana.


Yule mlinzi wa gereza akaamka, akaona ya kuwa milango ya gereza imefunguka, akafuta upanga wake, akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wamekimbia.


Kulipopambazuka makadhi wakawatuma wakubwa wa askari wakisema, Waacheni watu wale waende zao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo