Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 16:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Tena wanatangaza khabari ya desturi zisizo halali kwetu tuzipokee wala kuzifuata, kwa kuwa sisi tu Warumi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Roma haturuhusiwi kuzikubali wala kuzifuata.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Roma haturuhusiwi kuzikubali wala kuzifuata.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Roma haturuhusiwi kuzikubali wala kuzifuata.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Rumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wanafundisha desturi ambazo sisi raiya wa Kirumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza.”

Tazama sura Nakili




Matendo 16:21
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na Mafarisayo walipoona, wakamwambia, Tazama! wanafunzi wako wanatenda lililo haramu kutenda siku ya sabato.


Siku ya pili tukafika Neapoli na kutoka hapo tukafika Filippi, mji wa Makedonia, mji ulio mkuu katika wilaya ile, nayo ni Kolonia ya Kirumi; tukawa katika mji huu, tukikaa siku kadha wa kadha.


wakawachukua kwa makadhi, wakasema, Watu hawa wanataharakisha mji wetu, nao ni Wayahudi.


Khassa kwa sababu wewe unajua sana desturi na maswali yote waliyo nayo Wayahudi: kwa sababu hiyo nakuomba unisikilize kwa uvumilivu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo