Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 16:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Tukangʼoa nanga kutoka Troa, tukafika Samothraki kwa tanga moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kutoka Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho yake tukatia nanga Neapoli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kutoka Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho yake tukatia nanga Neapoli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kutoka Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho yake tukatia nanga Neapoli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Tukasafiri kwa meli kutoka Troa na kwenda moja kwa moja hadi Samothrake, na kesho yake tukafika Neapoli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Tukasafiri kwa njia ya bahari kutoka Troa na kwenda moja kwa moja hadi Samothrake, kesho yake tukafika Neapoli.

Tazama sura Nakili




Matendo 16:11
5 Marejeleo ya Msalaba  

wakapita Musia wakatelemkia Troa.


Watu hao wamekwisha kutangulia wakatungojea Troa.


IKAWA tulipokwisha kujitenga nao ua kutweka, tukafika Koos kwa tanga moja, na siku ya pili yake tukafika Rodo na kutoka huko tukafika Patara,


Bassi nilipofika Troa kwa ajili ya Injili ya Kristo nikafunguliwa mlango katika Bwana,


Joho lile nililomwachia Karpo Troa, ujapo, lete, navyo vitabu, zaidi vile vya ngozi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo