Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 15:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Akapita katika Shami na Kilikia akawatia moyo makanisa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia, akiyaimarisha makanisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia, akiyaimarisha makanisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia, akiyaimarisha makanisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Akapitia Siria na Kilikia, akiimarisha makundi ya waumini ya huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Akapitia Shamu na Kilikia, akiyaimarisha makundi ya waumini ya huko.

Tazama sura Nakili




Matendo 15:41
8 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Wakaandika hivi kwa mikono yao, Mitume na wazee na ndugu, kwa ndugu zetu walioko Antiokia na Shami na Kilikia, walio wa mataifa, salamu.


Tena Yuda na Sila, kwa kuwa wao wenyewe ni manabii, wakawausia ndugu kwa maneno mengi, wakawathubutisha.


Paolo akazidi kukaa huko siku nyingi, kiisha akaagana na ndugu akatweka kwenda Shami; na Priskilla na Akula wakaenda pamoja nae, alipokwisha kunyoa kichwa chake katika Kenkrea; maana alikuwa ana nadhiri.


Na tulipoona Kupro tukaiacha upande wa kushoto: tukasafiri hatta Shami tukashuka Turo. Kwa maana huko ndiko marikebu yetu itakakoshusha shehena yake.


Lakini baadhi ya watu wa sunagogi lililokwitwa sunagogi la Malibertino, na la Wakurene na la Waiskanderia, na la wale wa Kilikia na Asia, wakaondoka wakajadiliana na Stefano:


Khalafu nalikwenda pande za Sham na Kilikia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo