Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 15:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Bali Paolo hakuona vema kumchukua huyo aliyewaacha huko Pamfulia, asiende nao kutenda ile kazi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Lakini Paulo hakupendelea kumchukua Marko, ambaye awali aliwaacha kule Pamfulia na kukataa kushiriki katika kazi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Lakini Paulo hakupendelea kumchukua Marko, ambaye awali aliwaacha kule Pamfulia na kukataa kushiriki katika kazi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Lakini Paulo hakupendelea kumchukua Marko, ambaye awali aliwaacha kule Pamfulia na kukataa kushiriki katika kazi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Lakini Paulo aliona si vyema kwa sababu aliwahi kuwaacha walipokuwa huko Pamfilia, hakutaka kuendelea kufanya kazi naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Lakini Paulo aliona si vyema kwa sababu aliwahi kuwaacha walipokuwa huko Pamfilia, hakutaka kuendelea kufanya kazi naye.

Tazama sura Nakili

Matendo 15:38
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwingine nae akasema, Nitakufuata, Bwana, lakini kwanza nipe rukhusa nikawaage watu wa nyumbani mwangu.

Kiisha Paolo na wenziwe wakangʼoa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perga katika Pamfulia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemi.

Frugia na Pamfulia, Misri na pande za Libua karibu na Kurene, na Warumi wageni, Wayahudi na Waongofu,

mtu wa nia mbili asitasita katika njia zake zote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo