Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 15:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Barnaba akaazimu kumchukua Yohana aliyekwitwa Marko pamoja nao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Barnaba alitaka wamchukue pia Yohane aitwaye Marko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Barnaba alitaka wamchukue pia Yohane aitwaye Marko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Barnaba alitaka wamchukue pia Yohane aitwaye Marko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Barnaba alitaka wamchukue Yohana aitwaye Marko waende naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Barnaba alitaka wamchukue Yohana aitwaye Marko waende naye.

Tazama sura Nakili




Matendo 15:37
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mama yake Yohana, ambae jina lake la pili ni Marko; na wafu wengi wamekutana wakiomba.


Na Barnaba na Saul, walipokwisha kuitimiza khuduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemi wakamchukua pamoja nao Yohana aitwae Marko.


Kiisha Paolo na wenziwe wakangʼoa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perga katika Pamfulia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemi.


Na walipokuwa katika Salamini wakalikhubiri neno la Bwana katika masunagogi ya Wayahudi, nao walikuwa nae Yohana kuwakhudumia.


Bassi palitokea maneno makali beina yao hatta wakatengana: Barnaba akamchukua Marko akatweka kwenda Kupro.


Aristarko, aliyefumgwa pamoja nami, awasalimu, na Marko, mjomba wake Barnaba, amhae mmepokea maagizo kwa khabari yake; akifika kwenu mkaribisheni.


Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe; maana anifaa kwa kazi ya khuduma.


na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.


Bibi mteule, mwenzi wenu aliye katika Babeli, awasalimu, na Marko mwanangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo