Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 15:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Baada ya siku kadha wa kadha Paolo akamwambia Barnaba, Haya! turejee sasa tukawaangalie ndugu katika killa mji tulipolikhubiri neno la Bwana, wa hali gani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Baada ya siku kadhaa, Paulo alimwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la Bwana, tukajionee jinsi wanavyoendelea.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Baada ya siku kadhaa, Paulo alimwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la Bwana, tukajionee jinsi wanavyoendelea.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Baada ya siku kadhaa, Paulo alimwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la Bwana, tukajionee jinsi wanavyoendelea.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Baada ya muda, Paulo akamwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee ndugu katika miji yote tuliyohubiri neno la Bwana Isa tuone jinsi wanavyoendelea.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Baada ya muda, Paulo akamwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee ndugu katika miji yote tuliyohubiri neno la Bwana Isa, tuone jinsi wanavyoendelea.”

Tazama sura Nakili




Matendo 15:36
21 Marejeleo ya Msalaba  

nalikuwa uchi, mkanivika; nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.


nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike: nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.


Ndipo yule liwali, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini akiyastaajabia mafundisho ya Bwana.


Bassi watu hao, wakiisha kupelekwa na Roho Mtakatifu wakatelemkia Selukia, na kutoka huko wakasafiri baharini hatta Kupro.


Nao wakawakungʼutia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio.


IKAWA huko Ikonio wakaingia pamoja katika sunagogi ia Wayahudi, wakanena; hatta jamaa kubwa ya Wayahudi na ya Wayunani wakaamini.


Hatta walipokwisha kuikhubiri Injili katika niji ule, na kupata wanafunzi wengi, wakarejea hatta Lustra na Ikonio na Antiokia,


bassi, wakapata khabari wakakimbilia miji ya Lukaonia. Lustra na Derbe, na inchi zilizo kando kando:


Umri wake ulipopata kama miaka arubaini akaazimu moyoni kwenda kuwatazama ndugu zake wana wa Israeli.


kwa maana ninatamani sana kuwaona, nipate kuwapeni karama ya rohoni, illi mfanywe imara;


Baghairi ya mambo ya nje, yako yanijiayo killa siku, ndio maangalizi ya makanisa yote.


Lakini mwenendo wenu uwe kama inavyoipasa Injili ya Kristo, illi, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, kama mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili;


Lakini Timotheo alipotujia siku hizi kutoka kwenu, akatuletea khabari njema za imani yenu na upendo wenu, na ya kwamba mnatukumbuka vema siku zote: mkitamani kutuona sisi vile vile kama sisi ninyi;


nikikumbuka machozi yako, illi nijae furaha;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo