Matendo 15:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Hatta hao wakiisha kupewa rukhusa wakatelemkia Antiokia; na baada ya kuwakusanya jamii yote wakawapa ule waraka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Hivyo wakaagwa, wakashuka kwenda Antiokia. Baada ya kulikusanya kundi la waumini pamoja, wakawapa ile barua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Hivyo wakaagwa, wakashuka kwenda Antiokia. Baada ya kulikusanya kundi lote la waumini pamoja, wakawapa ile barua. Tazama sura |