Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 15:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Bassi tumewatuma Yuda na Sila, watakaowaambieni maneno yayo hayo kwa vinywa vyao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Kwa hiyo, tunawatuma Yuda na Sila kwenu; hawa watawaambieni wao wenyewe haya tuliyoandika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Kwa hiyo, tunawatuma Yuda na Sila kwenu; hawa watawaambieni wao wenyewe haya tuliyoandika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Kwa hiyo, tunawatuma Yuda na Sila kwenu; hawa watawaambieni wao wenyewe haya tuliyoandika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kwa hiyo tunawatuma Yuda na Sila, kuthibitisha kwa maneno ya mdomo mambo haya tunayowaandikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kwa hiyo tunawatuma Yuda na Sila, kuthibitisha kwa maneno ya mdomo mambo haya tunayowaandikia.

Tazama sura Nakili

Matendo 15:27
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi ikawapendeza mitume na wazee na Kanisa lote kuwachagua watu miongoni mwao na kuwapeleka Antiokia pamoja na Paolo na Barnaba: nao ni hawa, Yuda aliyekwitwa Barsaba, na Sila, watu wakuu katika ndugu.

Tena Yuda na Sila, kwa kuwa wao wenyewe ni manabii, wakawausia ndugu kwa maneno mengi, wakawathubutisha.

Kwa kuwa nina maneno mengi ya kuwa-andikia, sitaki kuyaandika kwa karatasi na wino; lakini nataraja kuja kwenu, na kusema nanyi mdo-mo kwa mdomo, illi furaha yenu itimizwe.

Nalikuwa na maneno mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalanm.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo