Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 15:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 watu waliokhatirisha maisha zao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Matendo 15:26
8 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Wayahudi wakawafitinisha wanawake watawa na watu wenye cheo na wakuu wa mji, wakawataharakisha watu wawaudhi Paolo na Barnaba; wakawatoa katika mipaka yao.

Wayahudi wakalika toka Antiokia na Ikonio, wakawashawishi makutano hatta wakampiga mawe Paolo wakamhurura nje ya mji, wakidhani ya kuwa amekwisha kufa.

waliokuwa tayari hatta kukatwa kichwa kwa ajili ya maisha yangu; ambao ninawashukuru, wala si mimi tu, illa na makanisa ya mataifa yote pia;

Kwa nini wakabatizwa kwa ajili yao? Na sisi, kwa nini tumo khatarini killa saa?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo