Matendo 15:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 Illi wana Adamu waliosalia wamtafute Bwana, Na mataifa yote ambao jina langu limetajwa kwao: Asema Bwana afanyae mambo haya yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 ili wanadamu wengine wote wapate kumtafuta Mwenyezi Mungu, hata wale watu wa Mataifa wote ambao wanaitwa kwa Jina langu, asema Mwenyezi Mungu, anayefanya mambo haya,’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 ili wanadamu wengine wote wapate kumtafuta Bwana Mwenyezi Mungu, hata wale watu wa Mataifa wote ambao wanaitwa kwa Jina langu, asema Bwana Mwenyezi, afanyaye mambo haya’ Tazama sura |