Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 15:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Baada ya mambo haya nitarejea, Nami nitaijenga tena nyumba ya Daud iliyoanguka. Nitajenga tena maanguko yake, Na nitaisimamisha;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 ‘Baada ya mambo haya nitarudi, na kujenga tena kile kibanda cha Daudi kilichoanguka; nitayatengeneza magofu yake na kukijenga tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 ‘Baada ya mambo haya nitarudi, na kujenga tena kile kibanda cha Daudi kilichoanguka; nitayatengeneza magofu yake na kukijenga tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 ‘Baada ya mambo haya nitarudi, na kujenga tena kile kibanda cha Daudi kilichoanguka; nitayatengeneza magofu yake na kukijenga tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 “ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha,

Tazama sura Nakili

Matendo 15:16
12 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo