Matendo 15:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Na maneno ya manabii yapatana na bayo, kama ilivyoandikwa: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa: Tazama sura |