Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 15:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Bali twaamini kwamba kwa neema ya Bwana Yesu tutaokoka kama wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tutaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tutaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tutaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi, kama wao wanavyookolewa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana Isa Al-Masihi, kama wao wanavyookolewa.”

Tazama sura Nakili




Matendo 15:11
14 Marejeleo ya Msalaba  

wanapewa haki burre kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Yesu Kristo:


Lakini kipawa kile hakikuwa kama lile kosa; kwa maana ikiwa kwa kuanguka kwake yule mmoja wengi walikufa, zaidi sana neema ya Mungu, na kipawa kilicho katika neema ya mtu mmoja Yesu Kristo kimezidi kwa ajili ya wale wengi.


Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; hali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.


Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.


Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amin.


Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yetu, alipokuwa tajiri, illi ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.


Nastaajabu kwa kuwa mmemwacha hivi upesi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo,


tukijua ya kuwa mwana Adamu hafanyiziwi wema kwa matendo ya sharia, hali kwa imani ya Yesu Kristo, sisi tulimwamini Yesu Kristo illi tufauyiziwe wema kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sharia; maana kwa matendo ya sharia hapana mwenye mwili atakaefanyiziwa wema.


Maana neema ya Mungu iwaokoayo wana Adamu wote imeonekana;


Nao waimba uimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulicbinjwa


Tufuate:

Matangazo


Matangazo